Leo tarehe 21/12/2010 ni siku ya kuzaliwa mdogo wetu Daniel Richard Kilimbe. Anawatakia wazazi, ndugu, jamaa, marafiki na wadau wote wa Globu ya Jamii Xmas njema na Mwaka mpya bomba. Anakaribisha kila mtu katika mnuso wake baadaye huko Rocky City, Mwanza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Simfahamu huyu kijana. Lakini kwa hilo pozi tu namtabiria uongozi wa nchi baada ya miaka 27 hivi kutoka leo!

    ReplyDelete
  2. Happy Birthday Dan, hata mimi leo nimezaliwa, nimekuwa Bibi yako nimezaliwa 21st Dec. leo nina miaka 52. nilizaliwa saa 1 asubuhi. Hongera Dan
    Pia muambie mama anitumie namba yake ya simu niongee naye!

    ReplyDelete
  3. Happy Birthday Daniel, how old are you?

    ReplyDelete
  4. Tunakupongeza sana Uncle kwa kutuwekea picha ya rafiki yetu Daniel, Mimi tulikuwa tunasoma wote Prep II lake English Medium na Mungu akitupa uzima next year tutakuwa Standard one. Nawatakia wanablog wote Sikukuu njema ya X-Mass na kheri ya Mwaka mpya.

    ReplyDelete
  5. HIYA LITTLE Daniel Richard Kilimbe, JUST WISHING U A WONDERFUL LIFE IN UR FUTURE, BACK ON UR SUIT YOU LOOK REALLY GOOD LITTLE DANIE, HOPE U TO BECOME THE NEXT OBAMA. GODBLESS U AND UR FAMILY LITTLE BOY.

    HAPPY BIRTHDAY AND MERRY XMAS. BE GOOD BOY DANIE

    SALAAM FROM UK.

    THANKS

    ReplyDelete
  6. Jamani mtoto mzuri kweli happy birthday danieli, uwe na maadili mema na usomee siku moja uje kuwa bonge la mtu!

    ReplyDelete
  7. Soo cute!! Happy birthday

    ReplyDelete
  8. Happy Birthday Future CEO! Mungu akubariki akupe nguvu na maarifa.

    ReplyDelete
  9. Niko Bugando na nina NjaaDecember 21, 2010

    Bonge la suti!...
    Mnuso sehemu gani Mwanza? Na hamu ya pilau...

    ReplyDelete
  10. Big DAN...naweza kukuita hivyo maana umesimama kishupavu na kikomandoo mbele ya mambo ya taswila. happy birthday brother wishing you a long life but usitoe namba ya simu ya mama watu wataitumia vingine.

    ReplyDelete
  11. Duh dogo anaonekana baada ya miaka 20 hivi atachukua nafasi ya JK.

    ReplyDelete
  12. usije kuwa FISADII EEHH MTOTO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...