A newly married Husband saved his Wife's cell number on his mobile as:
"MY LIFE"
After One year of marriage, it was found changed to:
"MY WIFE"
After Five years of Marriage:
"HOME"
and after Ten Years:
"HITLER"
and after Silver Anniversary:
"WRONG NUMBER" !!!
"MY LIFE"
After One year of marriage, it was found changed to:
"MY WIFE"
After Five years of Marriage:
"HOME"
and after Ten Years:
"HITLER"
and after Silver Anniversary:
"WRONG NUMBER" !!!


Uliyeleta hoja hii unataka kusema ndoa inakuwa chungu kadiri muda unavyokwenda au unamaana gani?? Maneno kama haya yanawafanya vijana wengi wapate kigugumizi kuoa, acheni kuvunja moyo watu,kama wewe unamatatizo na ndoa yako tafuta jinsi ya kuyasolve....all the best!
ReplyDeleteThis doesn't make any sense and it's not funny at all....!!
ReplyDeleteHugo Kali
ReplyDeleteTatizo la sisi wabongo huwa hatupendi kuambiwa ukweli - na utamaduni huu umesambaa katika kila kona ya maisha ya jamii ikiwa ni pamoja na siasa. Mbongo anataka kuambiwa "jiji la Dar ni safi kuliko majiji yote duniani!"
ReplyDeleteUkweli ni kwamba ndoa ni kama kitu cho chote kile chenye uhai - huzaliwa, hukua, huzeeka, na hatimaye hufa (kwa namna tofauti). Huu ni ukweli usiohitaji mjadala, tunayashuhudia na wakati mwingine tukiwa bado wadogo - kati ya wamama na wababa zetu, na bado hilo halikatishi vijana tamaa ya 'kujifunga pingu za maisha'.
ni kweli naona kaleta tu kama kichekesho, ila jamani tuache mapenzi ya kuchumana, haya ndo yanasababisha yote haya.unakuta umeolewa au umeoa kumbe mwenzio kaja kukuchuna tu,matokeo yake mapenzi hakuna.ndo maana sikuhizi asilimia kubwa ya ndoa wote wanatoka nje kutafuta penzi.ndani ni kuja kuzaa tu, inauma sana tena san.
ReplyDeleteWewe kama ndoa yako imekushinda usijaribu ku-generalize. Kuna wenzenu wanachukulia ndoa zao serious...wachache mlio na tamaa ndo mnadhani kuwa kila umri unavyosonga mnatakiwa mkatafute dogodogo...poleni..wewe kama ulioa kwa tamaa ni hakika ndoa yako itakushinda...ndo mnaandika upuuzi hapa...! Halafu mnajifanya kuwa wabongo wanakataa ukweli....reality ni kuwa ukimpenda mtu hakuna cha umri...!!
ReplyDeletewengi wanao oana, tangu miaka mingi tu iliopita. wanakua hawajapendana kweli, yani mradi harusi tu. ndo maana. ngumu sana kusema mke au mumeo ni wrong number. ata kama umemkosea au yeye na pia ata kama mapenzi yameisha. kama tangu mwanzo ulikua unababaisa tu, basi rahisi sana tu. ataa mimi ningeweza. Hash.....
ReplyDeleteNDOA NI TAASISI KONGWE ZAIDI KUWEPO DUNIANI NA MUASISI WAKE NI MUNGU MWENYEWE. IWAPO WANANDOA HAWAKUMSHIRIKISHA MUNGU NA PIA HAWATAFUTI UONGOZI WAKE NI DHAHIRI KABISA MATATIZO YATAKUWA SEHEMU KUBWA YA NDOA.UKWELI NI KWAMBA WENGI HUINGIA KATIKA NDOA KIMWILI ZAIDI KABLA YA KIROHO; KWA JINSI HII MAMBO YA KIMWILI YAKIONDOKA NDOA HAIWEZI KUDUMU!SISI TUNAADHIMISHA MIAKA 15 YA NDOA 16/12/2010 NDOA YENU NI BORA ZAIDI KILA KUKICHA; KWA SABABU TUMEJIKABIDHI KWA MUNGU
ReplyDelete