Washiriki wa shindano la Giraffe Unique Model 2010 wakiwa pamoja na mratibu wao, Bw. Magese (katikati) wakikata keki kwa pamoja kuashiria uzinduzi rasmi wa kambi yao katika afla fupi iliyofanyika jana katika hotel ya Giraffe Ocean View jijini Dar es salaam.Shindano hilo linatazamiwa kufanyika tarehe 24 mwezi huu katika hoteli hiyo ya Giraffe.

huu umisi umis huu ukimwi utaisha kweli kama watoto wanaacha mapaja nje namna hii...mimate imenijaa
ReplyDeletewewe hapo juu ulegee...
ReplyDeleteukimwi na umiss unahusiana nini