Washiriki wa shindano la Giraffe Unique Model 2010 wakiwa pamoja na mratibu wao, Bw. Magese (katikati) wakikata keki kwa pamoja kuashiria uzinduzi rasmi wa kambi yao katika afla fupi iliyofanyika jana katika hotel ya Giraffe Ocean View jijini Dar es salaam.Shindano hilo linatazamiwa kufanyika tarehe 24 mwezi huu katika hoteli hiyo ya Giraffe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. huu umisi umis huu ukimwi utaisha kweli kama watoto wanaacha mapaja nje namna hii...mimate imenijaa

    ReplyDelete
  2. wewe hapo juu ulegee...
    ukimwi na umiss unahusiana nini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...