Hamjambo wasomaji wa Globu hii ya Jamii,

Mimi ni mwanahistoria, na ninashughulika na utafiti kuhusu maisha ya watu wa Dar es Salaam wakati wa Ujamaa; hasa miaka 1960s na 1970s. Hasa, ningependa kukusanya hadithi ya maisha wa waandishi wa habari wakati ule; yaani, wale walioandika kwa Uhuru, Mzalendo, Nchi Yetu, Ngurumo, Mwafrika, Drum, The Nationalist na The Daily News.

Nadhani waandishi hawa waliona mambo mengi ya historia ya Dar es Salaam wakati ul. Kama wewe ni moja wa waandishi hawa, na una nafasi kuongea nami kuhusu maisha na kazi yako, naomba uniandikia email: chezadansi08@gmail.com

Ninawashukuru sana wote!

Here are a few of the writers whose work I’ve been following:

  1. “Mitaani na Kashkash” (lakini sijui Kashkash anaitwaje!)
  2. Seif Mketto (Mzalendo, 1970s)
  3. Salvatory Rweyemamu (Uhuru, mid-1970s)
  4. Hannah Kasambala (The Nationalist, late 1960s, early 1970s)
  5. Lawrence Mtawa (Nchi Yetu, late 1960s, early 1970s)
  6. Hilda Mamlay, (Nchi Yetu, 1960s)
  7. P.P. Kasembe, (Mambo Leo, late 1950s)
  8. Theresia Mshuza, (Uhuru, late 1960s, 1970s)
  9. Nelly Muganda, (Nchi yetu, 1970s)
  10. Elizabeth Mlaki (Nchi Yetu, 1970s)
  11. Mpufu Katojo, (Daily News, 1970s)
  12. John Rutayisingwa (Uhuru, 1970s)
  13. A Likoko, (Nchi Yetu, 1970s)
  14. Rashid Seif (Mzalendo, 1970s)
  15. Chiku Abdallah
  16. Juma Penza (Daily News, 1970s)
I hope that all is well with you.
If you have a chance to meet, let me know and I will stop by your office.

With best wishes,
Emily

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Pole, huyu John Rutayisingwa alifariki miaka ya tisini, Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi. Salva utampata Ikulu. Kila la heri.

    ReplyDelete
  2. Nelly Muganda, (Nchi yetu, 1970s)
    http://www.nejacosmetics.com/

    ReplyDelete
  3. Juma Penza utampata CCM Makao Makuu

    ReplyDelete
  4. Be ware of political biasness! Find some neutral guys in the streets for the real stuff!

    ReplyDelete
  5. Unafanya jambo la maana mdau. HEKO!

    ReplyDelete
  6. Hanna Kasambala (RIP)alifariki dunia miaka mingi iliyopita kwa kugongwa na gari. Mungu amlaze pema. Amina.

    ReplyDelete
  7. Nitakusaidia kwa wawili I think,
    Wa Kwanza Namba 3 kama sikosei ndio Mkurigenzi wa Mawasiliano Ikulu so ukimuhitaji wasiliana na Bosi wake yaani Rais wa Tanzania Dr JMK.
    Wa pili ni Namba 10 kama sikosei alifariki Dunia miaka ya late sabini or early 80's (RIP)

    ReplyDelete
  8. Asanteni sana. Mmenisaidia sana. Nawatakia kila la kheri!
    -Emily

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 03, 2014

    Mpufu Katojo ni yule ambaye baadaye alikuwa Mhariri Mtendaji wa Daily News (Ulli Mwambulukutu) na baadaye kuwa mwanadiplomasia Uingereza, Umoja wa Mataifa na sasa mstaafu nyumbani Tanzania. Belatedly!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...