Home
Unlabelled
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara atembelea migodi ya Makaa ya Mawe ya Liganga Mchuchuma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani Mawaziri na Manaibu wenu mnapoanza ziara za kikazi nikiwa na maana za kiserikali kwepeni kuvaa vitambulisho vya U-CCM. mnawafanya watu wa itikadi nyingine kuona kama bado ni kampeni zinaendelea. Mko kulitumikia Taifa na vyema mkawa wa kawaida kabisa.
ReplyDeleteChapeni kazi uchaguzi umeisha mmeshakabidhiwa dhamana hizo sare zisubiri wabunge wasio mawaziri na ninyi hadi 2015 kama mnaona itafaa;
Mdau
yupo wapi yule wifey wake Miss Tz? Au ashamchoka?
ReplyDeleteMbeya kuna vitu vinono, malizana na makaa ya mawe kwanza!
Wow nimekubali Mbeya kuna vitu vinono haswa me mwenyewe shahidi..!!
ReplyDeleteMhn. huko juu, tulikuW wote hapa tunapiga box sasa hivi huko juu wangu...!!!!
Hongera Mh Nyalandu. Combination yenu pale wizara ya Viwanda ni ya kipekee, Waziri Kichwa, Naibu kichwa, Fanyeni kazi sasa. Natamani huo umeme wa makaa ya mawe uwake leo tuepukane na adha ya mgao
ReplyDeleteHongera Mh Nyalandu. Combination yenu pale wizara ya Viwanda ni ya kipekee, Waziri Kichwa, Naibu kichwa, Fanyeni kazi sasa. Natamani huo umeme wa makaa ya mawe uwake leo tuepukane na adha ya mgao
ReplyDeleteHivi NDC ipo hai au imekufa? Nyalandu na Chami ifufueni kwa kuipa funds na watendaji makini ili hayo mazuri ya Liganga na Mchuchuma yatufikie Watanzania
ReplyDeleteHivi NDC ipo hai au imekufa? Nyalandu na Chami ifufueni kwa kuipa funds na watendaji makini ili hayo mazuri ya Liganga na Mchuchuma yatufikie Watanzania
ReplyDeleteTanzania ina neema za ajabu, Wizara ya Viwanda tangazeni mambo haya. Sisi tulioko nje tunawajua watu wenye hela zao za kuweza kuwekeza lakini taarifa hazipatikani
ReplyDeleteNyalandu ni kichwa kweli, hakutakiwa kuwa waziri ili awajibike kwa Taifa badala ya CCm, any way endeleza uzalendo
ReplyDeleteNi taarifa njema sana
ReplyDeleteTanzania bwana, tuna kila sababu ya kuwa juu sana kiuchumi, tastizo ni taarifa. Ziko wapi taarifa za tafiti kama hizi za makaa ya mawe? Tutajuaje faida bila kuambiwa na wahusika? Itikieni wito wa Rais Mstaafu Mkapa na Huyu wa sasa JK, wanataka mtoe habari sio kuzilalia.
ReplyDelete