Home
Unlabelled
President Kikwete in Zambia for Great Lakes Summit
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
"children welcomes'?....."arrived to"? Come on, get your english right, otherwise post in swahili ili tuepukane na aibu za kiprofeshenali kama hizi!
ReplyDeleteprizident wetu mh kikwete namkubali sana kwa kupiga pamba yani hizo suti zake zimetulia sana na yote kutokana na kuwa mjanja anajuwa kupangilia na mwili wake ni mzuri unakubali pamba sio kama yule mwingine jina kapuni...mh kikwete suti zinamkubali kama obama big up tz.
ReplyDeletehuyo rais wa burundi kweli kachoka yani yeye mwenzie anamsalimia yeye macho kwenye suti ya mh kikwete anaipigia mahesabu hajui kama mwinzie ni mtu wa pamba kali na kuruka viwanja usiku na mchana washikaji zake kina obama
ReplyDeletehuyo raisi wa burudi akikutana na mh kikwete ndio anajiona kama kakutana na obama hehehe hongera mh kikwete kwa kujiweka nice.
hivi jamani hiyo picha ya kwanza raisi ameshika simu mkononi? au macho yangu
ReplyDeletemie naona kama huyu jamaa wa burundi tunafanana kidogo, au unaonaje ankal?
ReplyDeletemdau wa ukerewe!
mdau anaeliza kuwa hiyo picha ya kwanza Mh.raisi kashika simu au laa
ReplyDeletejibu ndio ameshika simu raisi wetu ni mtu wa pamba na mapigo ya kisasa big up Mh.raisi.