
fish and chips kwa samaki

ndizi kwa makange

dagaa kwa ubwabwa

vitumbuazzzz
Take your palate on a tour of eclectic East African Cuisine offered at the new Kijiweni Restaurant @ West Quarter Lounge in Dallas, TX. Enjoy mouth watering delicacies such as Wali wa Nazi, Pilau, Kuku Choma, Samaki Mchuzi, Samosa, Supu ya Mbuzi, Chapati, Maandazi, Vitumbua, Mishkaki just to name a few...while enjoying your favorite specialty cocktail, or draft.
KIJIWENI RESTAURANT @ WEST QUARTER LOUNGE
18900 DALLAS PARKWAY
DALLAS, TX 75287
Open 5 days a week (Wednesday to Sunday 12pm till 10pm)
Contact: 972-836-2282
e-mail: kijiwenirestaurant@yahoo.com
"Kijiweni, a fine dining experience...
brings you closer to Nyumbani."
Mbona hiyo picha ya kwanza kuna chips,samaki na nyanya tu lakini fish hakuna, kulikoni? Au nyanya ndiyo fish?
ReplyDeleteFish = samaki wa wapi wewe ?
ReplyDeleteHata mimi nimeona Fish, lakini sikuona Samaki? Sasa mbona hujaweka Nyama ya Kuku na Chicken?
ReplyDeleteMdau
COrolado -USA
Anony wa 01:09:00 nitafusirie fish kwa kiswahili ni nini?
ReplyDeleteMie hapo namisi vitumbua tuu, vingine vyote ninavyo. Nikienda FSI lazima nipande kwenu....
Blackmpingo
jamani kwani fish ni nn na samakini nn kweli lugha ni ngumu!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteNdio iko wapi hii maeneo ya sinza au gongo la mboto au tandika tuambiane vizuri maana hivvyo vitumbua vimenivutia sana
ReplyDeletemenu zingine jamani dagaa kwa wali mhh ungekuwa ugali sawa !!!
ReplyDeletebac msameheni,huenda haraka na msisimko wa kuziangalia hizo pics ndo umemfanya kukosea kiaina.or maybe fish ni "nguruka" huko mitaa ya Dallas.kaazi kweli kweli.....
ReplyDeleteSafi sana. Mara nyingi USA na Ulaya na hata Asia utaona migahawa ya wenzetu wa West Afrika lakini nadra kuna migahawa ya KITZ. Hawa ndio watu wa kuungwa mkono.
ReplyDeletehaya shime watanzania wa Dallas...msapotini mjasiriamali mwenzetu.
ReplyDeleteTatizo hapo ni jina la biashara. Huku U.S., jina pamoja na menu ni factor kubwa sana kuvutia wateja. Nina mifano hai mitatu.
ReplyDelete1). Swahili Restaurant iliyokuwepo Wichita, Kansas. Watu walikuja siku za mwanzo tu kuonja, lakini haikudumu hata miezi 6.
2)Serengeti Restaurant ilikuwepo Wichita, Kansas. Watu walikuja kuonja tu kwa miezi kadhaa ikafungwa.
3)Kilimanjaro Restaurant ilifunguiliwa Wichita, Kansas pale Central na Hillside. Nayo pia haikudumu. Wamarekani wakaja wakaonja, hao wakarudi kwenye McDonalds na Burger King walizozizoea.
Menu ni tatizo pia. Inabidi ujue wateja walio wengi zaidi ni wamarekani kuliko waTanzania au waafrika. Jamaa walikuwa wanauza ugali, maharage, n.k. Inabidi ufikirie kuwa unahudumia watu wengi zaidi ya hao waafrika wachache unaowajua, vinginevyo hiyo Kijiweni Restaurant nayo itafungwa kama nyingine nilizozitaja. Hili ni wazo zuri kwa mwenye biashara. Badilisha jina na badilisha menu.
kuna watu wengine tunapenda dagaa lakini hatupendi ugali, kwa hiyo inabidi dagaa tule na wali. kwetu Kyela...
ReplyDeleteMdau unaweza jipikia vitumbua kwa kununua unga wa mchele toka maduka ya wachina na wathailand. Vikaango pia vinapatina hapa USA. Ni wewe mwenyewe tuu. Unga wa mahindi kwa ugali pia upo Walmart na kwa wa-Asia.
ReplyDeleteAfadhali hata wali kwa dagaa, chips kwa samaki je? Mie ndo nachoka!
ReplyDelete