KESHO JUMAMOSI TAREHE 4/12/2010 KUTAKUWA NA PARTY YA UKWELI KUADHIMISHA MWAKA MMOJA KATIKA BIASHARA.

UTAWALA WA URBAN PULSE UNAWAOMBA NDUGU, JAMAA, MARAFIKI, WAPENZI MASHABIKI,NA NA NUGU ZETU TOKA TANZANIA,KENYA,UGANDA,RWANDA, BURUNDI CONGO NA WAAFRIKA WOTE, WAJE KUSHEHEREKA NASI KATIKA SIKU HII MUHIMU
URBAN PULSE INAWAKARIBISHA WOTE

£5 Kiingilio KUANZIA 10:00PM zaidi baada ya 00.00PM
@ CLUB AMBASSADOR.
20 LONDON ROAD.BARKING IG 118AJ

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Sasa how come mnawaalika watu kwenye party halafu walipe kiingilio, vijana kuweni wawazi kama mna promote a night club event wekeni wazi, tutakuja tu na kulipa kama tufanyavyo tunapokwenda kwenye club nyingine

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...