MHESHIMIWA DKT. EMMANUEL J.NCHIMBI AKIANGALIA JENGO LA MOJA YA SHULE ZILIZOHARIBIWA KUTOKANA NA MVUA KUBWA ZILIZONYESHA HIVI KARIBUNI.

ZIARA HIYO YA MHESHIMIWA DKT.EMMANUEL J. NCHIMBI, WAZIRI WA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO AMBAYE PIA NI MBUNGE WA JIMBO LA SONGEA MJINI ALIPOWATEMBEA WANANCHI WA JIMBO LAKE TAREHE 7 DESEMBA, 2010 WALIOATHIRIKA NA MVUA KUBWA ILIYONYESHA TAREHE 5 DESEMBA, 2010 NA KUHARIBU NYUMBA, MAJENGO YA SHULE NA OFISI NYINGINE.
DKT. EMMANUEL NCHIMBI AKISIKILIZA MAELEZO TOKA KWA WANAKIJIJI WA ENEO HILO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hivi kama mambo kama haya yakitokea wananch hawawezi kukusanyana wakatengeneza wenyewe hadi watu kutoka serekalini waje?

    ReplyDelete
  2. Mdau wa kwanza (11.34am) be specific, unaposema wananchi unamaanisha watu wa eneo husika ama? Kama ni wa eneo husika, rough income yao ni ngapi kwa siku na pia katika shule hiyo ada yake ni ngapi wa wazazi wangapi wanamudu kupeleka watoto wao katika shule hiyo.

    Kama ni wananchi wa mbali na eneo husika, watapataje habari na ni nani wa kuwahamasisha?

    ...nadhani kama ni wazo unatoa ungefanyia research kdg basi kuona kama ni valid or not.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...