MHESHIMIWA DKT. EMMANUEL J.NCHIMBI AKIANGALIA JENGO LA MOJA YA SHULE ZILIZOHARIBIWA KUTOKANA NA MVUA KUBWA ZILIZONYESHA HIVI KARIBUNI. ZIARA HIYO YA MHESHIMIWA DKT.EMMANUEL J. NCHIMBI, WAZIRI WA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO AMBAYE PIA NI MBUNGE WA JIMBO LA SONGEA MJINI ALIPOWATEMBEA WANANCHI WA JIMBO LAKE TAREHE 7 DESEMBA, 2010 WALIOATHIRIKA NA MVUA KUBWA ILIYONYESHA TAREHE 5 DESEMBA, 2010 NA KUHARIBU NYUMBA, MAJENGO YA SHULE NA OFISI NYINGINE.




hivi kama mambo kama haya yakitokea wananch hawawezi kukusanyana wakatengeneza wenyewe hadi watu kutoka serekalini waje?
ReplyDeleteMdau wa kwanza (11.34am) be specific, unaposema wananchi unamaanisha watu wa eneo husika ama? Kama ni wa eneo husika, rough income yao ni ngapi kwa siku na pia katika shule hiyo ada yake ni ngapi wa wazazi wangapi wanamudu kupeleka watoto wao katika shule hiyo.
ReplyDeleteKama ni wananchi wa mbali na eneo husika, watapataje habari na ni nani wa kuwahamasisha?
...nadhani kama ni wazo unatoa ungefanyia research kdg basi kuona kama ni valid or not.