Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria nchini Profesa Tolly Mbwette akionyeshwa maeneo ya mazingira yanayozunguka n majengo yaliyotolewa na mkurugenzi mtendaji kampuni ya kimataifa ya Investiment Solution Bw.,Michael Njumba (kulia).
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria nchini Profesa Tolly Mbwette (kushoto) akiongea jambo na mkugenzi mtendaji wa kampuni ya kimataifa Investment Solution Bw. Michael Njumba ambaye amejitolea majengo yake yaliyoko maeneo ya Kyanyi katika Manispaa ya Bukoba ili yatumiwe na kituo cha chuo hicho kilichoko mkoani Kagera kwa ajili ya madarasa na maofisi, aliyevaa suti nyeusi nyuma ya profesa Mbwette ni mkurugenzi wa chuo hicho kanda ya Kagera Bw. Clavery Kabohya. 

Yako wapi hayo majengo?
ReplyDeleteSasa mbona majengo hayaonekani?
ReplyDeleteMawe ndo Majengo ??!! Halafu Kyanyi ndo wapi?? Mbona nakaa Bukoba na sikujui hata kidogo?
ReplyDeleteJamani majengo walyopewa mbona hayako kwenye picha, je ni kweli wamepewa majengo au wamepewa kiwanja. Kama ni majengo basi wekeni picha za hayo majengo msije mkawa mnagawana nyumba za akina nshomile waliotoroka kwao. Weka picha ya jengo
ReplyDelete