Nyota ya Supa modo wetu Flaviana Matata kung'ata ambapo hivi sasa anatesa katika maduka ya Top Shop huko Marekani ambako amejipanga na masupa modo wakubwa kutangaza viwalo vya maduka hayo ya kimataifa.
Flaviana katika tangazo
Flaviana anatamba Top Shop.
Mengi kuhusu maduka hayo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...