Libeneke la Pango tanzania linakukaribisha kuadvertise nyumba viwanja na eneo za biashara bure na wateja wakapata contacts za wenye eneo hizo bure ili kupunguza utapeli na wizi uliozidi sana hapa Bongo, hususan Dar unaoletwa na madalali. Karibu sana sana...
http://www.pango.co.tz/


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Safi sana, hawa dalali wameisha zidi. Issa hivi nyumba tunaingizaje kwenye lebeneke hili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...