Home
Unlabelled
MAMBO YA GADO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sorry huyu gado sasa anakua mchonganishi. anajua watu wanampenda
ReplyDeletemungu sana kwahiyo hatakiwi kuuliza swali kama hilo. this
is not funny at all. hao ocampo six wanatakiwa hague kwenye kesi
juu ya mauaji wakari wa election ya kenya na kuna wakenya wengi
wanawatetea.
Anony hapo juu Tue Jan 25. 01:55 am pole sana iwapo hujaweza tafsiri mesaji za vikaragosi hao na kama umeweze basi niwie radhi nayaheshimu maoni yako. Kwa maoni yangu hapa Gado nampa five, hizi vikaragosi ni vya kumshindisha Gado medani ya mwaka ya ubunifu, maana haya ni kweli kabisa mambo yanavyoendelea huko kenya na raisi Kibaki anatoa kafara wananchi waathirika wa mauaji yale (ndio Jesus) ili Ocampo six waachiwe; makuhani ni wale vigogo marafiki wa Ocampo six.
ReplyDeleteGado ni kiboko. Sijui huwa anapataje 'idea' za vibonzo (cartoon) zake. Kweli Tanzania ina vipaji lukuki.
ReplyDeleteHhhhahahahaaaaaaaa limenifurahisha pozi la kuhani anaponawa mikono hahahaaaa
ReplyDelete