Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. sorry huyu gado sasa anakua mchonganishi. anajua watu wanampenda
    mungu sana kwahiyo hatakiwi kuuliza swali kama hilo. this
    is not funny at all. hao ocampo six wanatakiwa hague kwenye kesi
    juu ya mauaji wakari wa election ya kenya na kuna wakenya wengi
    wanawatetea.

    ReplyDelete
  2. Anony hapo juu Tue Jan 25. 01:55 am pole sana iwapo hujaweza tafsiri mesaji za vikaragosi hao na kama umeweze basi niwie radhi nayaheshimu maoni yako. Kwa maoni yangu hapa Gado nampa five, hizi vikaragosi ni vya kumshindisha Gado medani ya mwaka ya ubunifu, maana haya ni kweli kabisa mambo yanavyoendelea huko kenya na raisi Kibaki anatoa kafara wananchi waathirika wa mauaji yale (ndio Jesus) ili Ocampo six waachiwe; makuhani ni wale vigogo marafiki wa Ocampo six.

    ReplyDelete
  3. Gado ni kiboko. Sijui huwa anapataje 'idea' za vibonzo (cartoon) zake. Kweli Tanzania ina vipaji lukuki.

    ReplyDelete
  4. Hhhhahahahaaaaaaaa limenifurahisha pozi la kuhani anaponawa mikono hahahaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...