Mwendesha shughuli ya uzinduzi wa kampuni ya kutengeneza Filamu inayojulikana kwa jina la Bonta Arts Production jijini, ‘MC’, Mbonike Mwangunga, akiongoza shughuli hiyo ya uzinduzi.
Producer wa filam katika kampuni hiyo, David Eric akitoa maelezo ya moja ya filamu walizozitengeneza wakati filamu hiyo ikiendelea kuonyeshwa katika ukumbi wa Green Acress,Victoria jijini Dar jana jioni.




Congratulation.Juhudi ndio msingi wa mafanikio.
ReplyDeleteBest wishes to them, this is great news that more are joining the film world. Let's see some films worthy of being submitted to the Academy Awards.
ReplyDeleteare those mwangunga's related..?? au ni kampuni yao..??
ReplyDeletethanks mbonike ur the best among of alli heard you have nice position in standard chartered UK big up nasi tujivune kuwaburuza wazungu maana tumezidi buruzwa hapa kwetu.
ReplyDelete