Mwendesha shughuli ya uzinduzi wa kampuni ya kutengeneza Filamu inayojulikana kwa jina la Bonta Arts Production jijini, ‘MC’, Mbonike Mwangunga, akiongoza shughuli hiyo ya uzinduzi.
Producer wa filam katika kampuni hiyo, David Eric akitoa maelezo ya moja ya filamu walizozitengeneza wakati filamu hiyo ikiendelea kuonyeshwa katika ukumbi wa Green Acress,Victoria jijini Dar jana jioni.
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Shamsa Mwangunga akiwasalimia wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa Kampuni ya kutengeneza Filam inayojulikana kwa jina la Bonta Arts Production jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya kazi zingine zinazofanywa na kampuni hiyo zikionyeshwa kwa wageni.
Baadhi ya wadau na wageni waalikwa wakifuatilia uzinduzi huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Congratulation.Juhudi ndio msingi wa mafanikio.

    ReplyDelete
  2. Best wishes to them, this is great news that more are joining the film world. Let's see some films worthy of being submitted to the Academy Awards.

    ReplyDelete
  3. are those mwangunga's related..?? au ni kampuni yao..??

    ReplyDelete
  4. thanks mbonike ur the best among of alli heard you have nice position in standard chartered UK big up nasi tujivune kuwaburuza wazungu maana tumezidi buruzwa hapa kwetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...