Uncle,
Naomba unisaidie kuwajulisha wadau kuwa bahasha yenye vyeti mbalimbali ikiwemo Post graduate Diploma (Financial Management- 2004) ya IFM imehifadhiwa baada ya muhusika kuisahau katika duka moja hapa Dar. Anayehisi kwa ni muhusika au anamjua mhusika basi apige
+255 713 325 972
au
+255 754 497 521
Mdau
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...