Saloon ya kisasa iliopo maeneo ya ya Tegeta Nyaishozi,ina vifaa vyote vya ndani.
mnunuzi hatalipia kodi ya mwaka mzima.
ina A/C,Heater ya maji ya moto,Steamer,Tv pamoja na Washing Chair,etc.

Atakae nunua anapata vifaa vyote vilivyopoto ndani na nje ya Saloon hii ya kisasa pamoja na kodi ya mwaka mzima bure!!

Wahi Sasa!!!

Bei Maelewano.


kwa mawasiliano 0655 844 266 au 0659 528 446 au 0784 844 266
inavyoonekana ukiwa kwa nje.
kabati la kuhifadhia vifaa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. weka bei wewe,si watu wote ambao wanaeza kua interested kununua wako bongo,,na mambo ya simu ukiwa nje kupiga bongo ni gharama..mtu anataka akupigie a bargain tu baada y kuona bei,na siyo kuuliza ni inauzwa kiasi gani kwan story itakua ndefu sn,kwani kwa kueka bei itamrahisishia mnunuzi na ww muuzaji pia. ni mawazo tu

    ReplyDelete
  2. Mdau nashindwa nianzie wapi, utauzaje saloon isiyoonyesha bei?weka bei basi tuongee.mdau UK.

    ReplyDelete
  3. bei maelewano ndiyo shiling ngapi???......wabongo bwana, biashara gani hii???

    ReplyDelete
  4. Hii saloon ilitangazwa tangu mwaka jana; bado haijapata mnunuzi? Sishangai; maana muuzaji si muwazi; weka bei ili watu waone kama wanaweza kuendesha mradi. Pia eleza kama haijajengwa maeneo yaliyokatazwa; yaani reserved areas nk. Wazo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...