
mnunuzi hatalipia kodi ya mwaka mzima.
ina A/C,Heater ya maji ya moto,Steamer,Tv pamoja na Washing Chair,etc.
Atakae nunua anapata vifaa vyote vilivyopoto ndani na nje ya Saloon hii ya kisasa pamoja na kodi ya mwaka mzima bure!!
Wahi Sasa!!!
Bei Maelewano.
kwa mawasiliano 0655 844 266 au 0659 528 446 au 0784 844 266
Bei Maelewano.
kwa mawasiliano 0655 844 266 au 0659 528 446 au 0784 844 266

weka bei wewe,si watu wote ambao wanaeza kua interested kununua wako bongo,,na mambo ya simu ukiwa nje kupiga bongo ni gharama..mtu anataka akupigie a bargain tu baada y kuona bei,na siyo kuuliza ni inauzwa kiasi gani kwan story itakua ndefu sn,kwani kwa kueka bei itamrahisishia mnunuzi na ww muuzaji pia. ni mawazo tu
ReplyDeleteMdau nashindwa nianzie wapi, utauzaje saloon isiyoonyesha bei?weka bei basi tuongee.mdau UK.
ReplyDeletebei maelewano ndiyo shiling ngapi???......wabongo bwana, biashara gani hii???
ReplyDeleteHii saloon ilitangazwa tangu mwaka jana; bado haijapata mnunuzi? Sishangai; maana muuzaji si muwazi; weka bei ili watu waone kama wanaweza kuendesha mradi. Pia eleza kama haijajengwa maeneo yaliyokatazwa; yaani reserved areas nk. Wazo
ReplyDelete