Home
Unlabelled
familia ya bahati singh yafurahia kutimiza mwaka mmoja wa ndoa yao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mwaka tu sherehe, mtasherehekea kila mwaka? Kazi kweli kweli. Kinachosherehekewa kwenye ndoa ni jinsi gani mmeweza kuvumiliana na kuendelea kupendana kwa muda mrefu at leat 10 years, but normally 25, 50 and 75. Hizo sherehe za miaka midogo midogo fanyeni privately watawacheka watu mtakapoachana japo hatuwaombei.
ReplyDeleteThis is ridiculous bwana we are not interested with this stupid individual news
ReplyDeleteWaacheni wajipongeze kunawengine hata wiki hawamalizi na ni hapo hapo bongo na wengine hawaja jaliwa watoto, acheni hizo hongereni singh na mkeo.
ReplyDeletemichuzi wengine wakiwekewa comment 'mbaya' unaminya lakini hiyo ya pili umeona sawa ehe? kusema kweli hongereni, kuna nyingine mwaka hazifiki kila mmoja na lwake. na wanasema hakuna kipindi kigumu katika maisha ya mke na mume kama mwaka wa kwanza.
ReplyDeleteWachangiaji wa kwanza na wa pili, kama nyinyi hamko interested na hizi news basi msiisome. Full stop. Hongera Bahati, Zeenat na mtoto wenu na tunamwomba Mwenyezi Mungu awalinde na awape kila la heri. Amin. Julius.
ReplyDeletesasa hawa ni mabaniani? au masingasinga?
ReplyDelete