Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Sio SANDAKALAWE...NI SADAKALAWE .labda kama umekusudia kuita "SANDA' kwa maudhui ya mwimbo

    ReplyDelete
  2. Jamani zungumzeni lugha ya kiswahili kwa ufasaha wake.

    Ndiyo nini kuweka mahadhi ya kizungu, sasa hicho si kiswahili ni kizunguzungu.

    Na hayo masandakarawe ndiyo nini tena?

    JARIBUNI KUTHAMINI KILICHO CHENU NDIYO MUTAFANIKIWA.

    HEKO MJOMBA KWA KUDUMISHA UTAMADUNI WA MTANZANIA NA MSWAHILI.

    ReplyDelete
  3. Huu wimbo Marco Challi hakuunganisha vizuri, besi iko off key kabisaaa, Mwakitime saidia vijana wadogo hawa maana hata muimbaji hakujua kama haujatulia. Mwimbaji lazima ajue kama it doesnt sound right ndio changamoto kwa maproducer wetu

    ReplyDelete
  4. All the way....nyimbo yako nzuri sana.lyrics na melody ni spot on.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...