Home
Unlabelled
L40 - Penzi La Sandakarawe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sio SANDAKALAWE...NI SADAKALAWE .labda kama umekusudia kuita "SANDA' kwa maudhui ya mwimbo
ReplyDeleteJamani zungumzeni lugha ya kiswahili kwa ufasaha wake.
ReplyDeleteNdiyo nini kuweka mahadhi ya kizungu, sasa hicho si kiswahili ni kizunguzungu.
Na hayo masandakarawe ndiyo nini tena?
JARIBUNI KUTHAMINI KILICHO CHENU NDIYO MUTAFANIKIWA.
HEKO MJOMBA KWA KUDUMISHA UTAMADUNI WA MTANZANIA NA MSWAHILI.
Huu wimbo Marco Challi hakuunganisha vizuri, besi iko off key kabisaaa, Mwakitime saidia vijana wadogo hawa maana hata muimbaji hakujua kama haujatulia. Mwimbaji lazima ajue kama it doesnt sound right ndio changamoto kwa maproducer wetu
ReplyDeleteAll the way....nyimbo yako nzuri sana.lyrics na melody ni spot on.
ReplyDelete