Mwenyekiti wa kamati ya fedha za serekali mh JONH CHEO (MB) akifunga mafunzo ya wiki moja jinsi ya usimamizi wa fedha za umma iliyo andaliwa na ofisi ya mdhibiti na mkaguzi wa fedha za umma mjini bagamoyo walio keti ni mh Zitto kabwe (mb) CAG mkaguzi na mdhibiti fedha za serekali bwana Ludovick Utouh na mh Agustino mrema
Mh Jonh Cheo akiwa katika picha ya pamoja na Mkaguzi na Mdhibiti wa fedha za serekali bwana Ludovick Utouh pamoja na Mkurugenzi wa Utumishi na utawala, Bibi Selina Lyimo baada ya kumalizika kwa mafunzo ya kamati za hesabu za bunge jinsi ya kusimamia fedha za umma semina hiyo iliandaliwa na ofisi ya mdhibiti na mkaguzi wa fedha za serekali ilifanyikia bagamoyo
Mkurugenzi wa utumishi na utawala katika ofisi ya mkaguzi na mdhibiti wa fedha za serekali bibi Selina lyimo akiwaongoza kamati katiaka kupata chakula katika kusherekea kumaliza mafunzo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Sawa vikao tunaviona na tunajua Nchi yetu si masikini lakini baada ya mwaka watu waanza kurushiana mipira mikataba mibovu maendeleo hakuna.Kuna picha nimeziona za baadhi ya mikoa ilivyosahalika kama TABORA,SHINYANGA,KIGOMA,MPANDA LINDI NA Mingine mingi tu hivi hii miji imo TANZANIA au vipi?Maana Sidhani kama ipo ndani ya budget za serikali au kuna makataba.Haiwezekani kuna mikoa tangu kaiacha mkoloni iko vile vile tukisema uhuru upo kwa baadhi ya watu,na mikoa michache mnapiga kelele Ndugu zangu tuliosahaulika msiwape kura zenu hawa viongozi hasa wa chama tawala ambao ndiyo wenye jukumu kubwa wanawafanyia nini lakini siku mambo yakienda mrama watawapigia kelele msimame kuipigania nchi waangalie mfano kwa GHADAFI, SADAM, kuna mikoa walikuwa hawaijali MAJUTO YAKAWA NI MJUKUU na nyie viongozi wetu mnaotujali siku mnataka kura zetu endeleeni hivyo hivyo wala msichoke.MDAU

    ReplyDelete
  2. NI DALILI NZURI YA VIKAO LAKINI WENYE DHAMANI WAKAE MAKINI KIPINDI HIKI NI KIGUMU SANA HUSUSANI KWA WALE WALIOPEWA DHAMANA WANAZITUMIA KINYUME NA MATARAJIO, TANZANIA IBADILIKE NA ITAMBUE KUWA MAGEREZA SIO SEHEMU YA WALALAHOI TU HATA WAKUBWA MRADI KOSA LIDHIBITISHWE KUTITIA VYOMBO HALALI VYA SHERIA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...