Home
Unlabelled
mafunzo ya usimamizi wa fedha za umma kwa viongozi yamalizika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sawa vikao tunaviona na tunajua Nchi yetu si masikini lakini baada ya mwaka watu waanza kurushiana mipira mikataba mibovu maendeleo hakuna.Kuna picha nimeziona za baadhi ya mikoa ilivyosahalika kama TABORA,SHINYANGA,KIGOMA,MPANDA LINDI NA Mingine mingi tu hivi hii miji imo TANZANIA au vipi?Maana Sidhani kama ipo ndani ya budget za serikali au kuna makataba.Haiwezekani kuna mikoa tangu kaiacha mkoloni iko vile vile tukisema uhuru upo kwa baadhi ya watu,na mikoa michache mnapiga kelele Ndugu zangu tuliosahaulika msiwape kura zenu hawa viongozi hasa wa chama tawala ambao ndiyo wenye jukumu kubwa wanawafanyia nini lakini siku mambo yakienda mrama watawapigia kelele msimame kuipigania nchi waangalie mfano kwa GHADAFI, SADAM, kuna mikoa walikuwa hawaijali MAJUTO YAKAWA NI MJUKUU na nyie viongozi wetu mnaotujali siku mnataka kura zetu endeleeni hivyo hivyo wala msichoke.MDAU
ReplyDeleteNI DALILI NZURI YA VIKAO LAKINI WENYE DHAMANI WAKAE MAKINI KIPINDI HIKI NI KIGUMU SANA HUSUSANI KWA WALE WALIOPEWA DHAMANA WANAZITUMIA KINYUME NA MATARAJIO, TANZANIA IBADILIKE NA ITAMBUE KUWA MAGEREZA SIO SEHEMU YA WALALAHOI TU HATA WAKUBWA MRADI KOSA LIDHIBITISHWE KUTITIA VYOMBO HALALI VYA SHERIA.
ReplyDelete