Home
Unlabelled
Makamu wa Rais awafariji majeruhi wa mabomu katika hospitali ya Muhimbil leoi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi Kila nikiona hizi picha natamani nisirudi tena kwenye blog, maana nikiweka maoni yangu halisi na mtazamp wangu hayatolewi.
ReplyDeletekarne ya 21 wagonjwa wanalala chini jamani?daa inatia huruma sana africa sijui tutafika lini saa nyingine nahisi kama tumerogwa!!
ReplyDeleteKwakweli yasikitisha sana,wagonjwa kulazwa chini kiasi hiki!!!? Hivi viongozi wetu hawajisikii aibu,na kuhisi ya kwamba ipo siku wataulizwa mbele ya Mwenyezi Mungu juu ya laia wao?Kabla ya wabongo na sie kuanza kuandamana ... Kuna haja gani ya kutemberea magali ya kifakhari mishahara mikubwa hali ya kuwa nyanja nyingi hatuja jitosheleza ikiwemo upande wa afya??? Twawapa pole wale wote walio athirika na mabomu ya Gongo lamboto.
ReplyDeleteHii haitakua mara ya mwisho kwa vile mara ya kwanza wahusika hawakuwajibishwa kisawa sawa sasa ni nini kitazuia tena mara nyingine...Nobody cares as long they still have a J.O.B
ReplyDeleteOh well just poor people keep dying in vain...
Haya maghala yangehamishiwa Oyster Bay, Masaki na Mbezi tungeona kama yanalipuka hovyo hovyo hivyo..
ReplyDeletemakamu wa rais swali hili ni lako,JWTZ,JKT,haya ni majeshi ya nini hapo tanzania?usije mikono nyuma hapo kwa kuondoa ngoma juani hapo hospitali,kunakufa kijinga sababu ni nyinyi
ReplyDeleteTanzania nakupenda mmmmmh mmmmh! mafisadi jamani sisi wa kipato cha chini tunatia huruma jamani mmh mmh.Yaani jinsi gani tunavyoonekana wajinga na mbumbumbu. Hii issue imetokea walipost kwenye yahoo home page mariporter waliwasiliana na viongozi wahusika wakasema no comment. na wenzetu wanatushangaa jinsi gani tulivyo wapupavu na kama tuna mtindio wa ubongo. Watawekaje base kwenye makazi ya watu mji umepanuka jamani inasikitisha sana. Ila sishangai juzi nilienda kumuinterview export meneja wa kampuni fulani akasema anaifahamu tanzania vizuri sana iko very corruption eti anafanya dili hajui kuwa huku wanakuwa monitor. Je, tutafika jamani?
ReplyDelete