Wanamuziki wa siku nyingi Parash Mukumbule Lolembo wa Super Kamanyola na Waziri Ally wa Kilimanjaro Band wakiimba moja ya nyimbo zilizopigwa miaka ya 70 katika ukumbi wa Villa Park, jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo.
Da' Nyota wa Kilimanjaro Band na Da' Anna Mwaole wa Super Kamanyola Band wakiimba kwa moja ya nyimbo walizopiga kwa pamoja miaka ya nyuma ndani ya ukumbi wa Villa Park,jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo.
Wazee wa Kazi. Toka shoto ni John Kitime, Parashi,Waziri Ally pamoja na Beno Villa wakiimba nyimbo walizoimba miaka ya nyuma ndani ya kiota cha Villa Park Jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo.
Midomo ya Bata ikipulizwa kisawasawa.
Kilimanjaro Band na Super Kamanyola wakiimba kwa pamoja usiku wa kuamkia leo.
Washabiki wakiyarudi magoma ya wana Njenje na wana Super Kamanyola usiku wa kuamkia leo.

Huyo "Marashi wa Super Matimila'' kama vile ni Parashi wa Maquiz Original Super Sendemaa enzi za Langata Kinondoni 'A' jijini Darisalama.
ReplyDeleteMdau
Visiwani Hawaii
Bahari ya Pasifiki.
Huyo ni Parash Mukumbule Lolembo wa Super Kamanyola.
ReplyDeleteHii ni bendi imeundwa na baadhi ya Wanamziki wa Maquiz Original
na Mlimani Park yenye Maskani yake Mwanza