Wanamuziki wa siku nyingi Parash Mukumbule Lolembo wa Super Kamanyola na Waziri Ally wa Kilimanjaro Band wakiimba moja ya nyimbo zilizopigwa miaka ya 70 katika ukumbi wa Villa Park, jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo.
Da' Nyota wa Kilimanjaro Band na Da' Anna Mwaole wa Super Kamanyola Band wakiimba kwa moja ya nyimbo walizopiga kwa pamoja miaka ya nyuma ndani ya ukumbi wa Villa Park,jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo.
Wazee wa Kazi. Toka shoto ni John Kitime, Parashi,Waziri Ally pamoja na Beno Villa wakiimba nyimbo walizoimba miaka ya nyuma ndani ya kiota cha Villa Park Jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo.
Midomo ya Bata ikipulizwa kisawasawa.
Kilimanjaro Band na Super Kamanyola wakiimba kwa pamoja usiku wa kuamkia leo.
Washabiki wakiyarudi magoma ya wana Njenje na wana Super Kamanyola usiku wa kuamkia leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyo "Marashi wa Super Matimila'' kama vile ni Parashi wa Maquiz Original Super Sendemaa enzi za Langata Kinondoni 'A' jijini Darisalama.
    Mdau
    Visiwani Hawaii
    Bahari ya Pasifiki.

    ReplyDelete
  2. Huyo ni Parash Mukumbule Lolembo wa Super Kamanyola.
    Hii ni bendi imeundwa na baadhi ya Wanamziki wa Maquiz Original
    na Mlimani Park yenye Maskani yake Mwanza

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...