


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kulekule kwa chinova TEMBOCARDMASTERCARD ndo yale aliyokuwa anayasema Dr. Mwakyembe why not Tembo Master Card!!!
ReplyDeleteJamani hizo tembo card lakini mashine za ku-process hizo card madukani au kwenye POS(place-of-sale) yeyote zipo wapi? Hii haisaidii kwa sababu utaenda dukani hawapokei hiyo tembo kadi yako. Yaani kadi zinatumika kutolea hela kwenye ATM tuu. Wadau na wajasilimali credit cards processing companies zinatakiwa sana bongo. Angalai nchi kama Kenya au South Africa zimetupiga bao kibao kwa hili jambo. Tuache na kubeba magunia ya noti kwenda dukani.
ReplyDeleteNingependa kujua kama kadi hizi ni sawa kabisa na kadi za ughaibuni, ambazo zinamwezesha mtumiaji kulipia huduma mtandaoni au kununulia vitu mtandaoni, kwa mfano vitabu.
ReplyDeleteTemboCardMasterCard MY FOOT! Why this now?! Tembo Master Card would have been better....
ReplyDeleteMbele,
ReplyDeletenilihudhuria hiyo function, kwa maelezo marefu yaliyotolewa inaonekana ni sawa kabisa na hizo za ughaibuni.