RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni,akipokea hati ya uthibitisho ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar , na Cheti cha ushiriki wa kugombea urais huo, katika uchaguzi mkuu uliopita, kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Said Bakari Jecha. Ikulu mjini Zanzibar, leo.(Picha na Ikulu, Zanzibar).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. mbona muda umepita au alikuwa kwenye probation period!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...