Baba na mama wa mtoto Martin Jr Davis wana furaha kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa mwana wao mpendwa leo. Mwanetu tunakutakia maisha ya heri, furaha na amani. Tuna furaha na faraja pamoja na shukurani kwa MUNGU kwa kukuwezesha kufikisha siku hii. Happy Birthday Martin dearest.
Dad & bMum

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Happy, Happy birthday baby, Mmwaaaaaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  2. Kaka Michuzi.

    Naomba, kwa nia nzuri tu uwaeleweshe hao wazazi kuwa pamoja na mapenzi makubwa tuliyonayo kwa watoto wetu lakini sio vizuri kwa mtoto mdogo wa umri huo kutumia SIMU ZA VIGANJANI.

    Mionzi mikali inayotoka hapo, ubongo wake bado ni mchanga sana kuweza kuihimili hivyo kusababisha MADHARA hata kama yatajitokeza kwa siku za baadae sana.

    Asante

    ReplyDelete
  3. Happy birthday Martin..Naomba kuuliza, hivi simu za viganjani..(simu za ukweli, sio vitoi), ni salama kwa watoto??? Wazazi wengi tuna tabia ya kuwapa watoto simu kuzungumza na ndugu lakini kama mionzi ina side effects kwa wakubwa, si zaidi sana kwa watoto?

    ReplyDelete
  4. Jamanim Happy Birthday si ina maanisha - Heri ya siku ya kuzaliwa sasa happy birthday ya siku ya kuzaliwa tena wapi na wapi?

    ReplyDelete
  5. safi dogo huyo anaonyesha atakuwa vipaji kibao.mfano mpiga boli matata sana,mwana IT,hafu na raba zake hizo anaashiria kuwa msanii mzuri sana wa muziki. la msingi wazazi mtunzeni vizuri msizidishe mapenzi mpaka basi na michoklate isizidi sana akue na mwili wa wastani sawa jama.

    ReplyDelete
  6. mzazi hukukubali hadi laptop imeonekana.

    ReplyDelete
  7. Happy birthday boy .....BUT dont use your dady's mobile phone until you grow up, it is not safe for you. Okaaaay Uncle Martin?

    ReplyDelete
  8. DOGO akikua atakuwa mshabiki wa CHELSEA anaonekana tu.HAPPY BIRTHDAY DOGO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...