Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ha! Msiba mkubwa sana huu jamani, Pole kwa wana familia ndugu jamaa na wapenzi wote wa taarab

    ReplyDelete
  2. hi yote ni lawama ya serikali kwani barabara kubwa za kwenda mikoani zote ni single lane{barabara moja}inakuwa tatizo kwa magari kupishana serikali ya bongo ipo busy kuvunja nyumba za watu Dar eti kupanua barabara wakati ajari zinatokea kila siku katika barabara kubwa za kwenda mikoani seikali inapoteza pesa na kuvunja nyumba za watu magomeni,buguruni na tandika eti kupanua barabara nadhani waafrica tuliwa sana kuwafukuza wazungu sisi bado kabisa kiakili hapa london kuna barabara nyembamba kwani hakuna haja ya kupanua barabara za kwenda nje ni pana motorways hakuna hata ajari sisi bado kabisa

    ReplyDelete
  3. AJALI IMESABABISHWA NA UKOSEFU WA ALAMA ZA BARABARANI NA PIA ELIMU FINYU YA USALAMA BARABARANI WALIYONAO MADEREVA WENGI. SWALI HAPA NI KWAMBA SERIKALI ITAFANYA NINI KUTATUA TATIZO HILI AMBALO LIMEDUMU KWA TAKRIBAN MILONGO MITANO SASA?
    JAMBO HILI LITAFUMBIWA MACHO MPAKA LINI? JAMANI NANI NDANI YA HII SERIKALI ANAETAKA KULIVALIA NJUGA SUALA HILI? AMBALO LINAONEKANA KUCHUKUA MAISHA YA RAIA WEMA. KILA WAKATI KINAPOTOKEA KITU CHA NAMNA HII ANAELAUMIWA NI MUNGU,MARA AAAAHHHH MUNGU HAJAPENDA,AU MUNGU AMEMPENDA ZAIDI N.K KWA KWELI SIYO FAIR. INABIDI TUJITAHIDI KUPUNGUZA VIFO VYA NAMNA HII KWA KUHAKIKISHA MADEREVA WOTE WANAELEWA NINI MAANA YA SHERIA ZA BARABARANI, NA ZIWEKWE ALAMA ZA KUTOSHA NDANI YA BARABARA ZETU.KAMA NCHI NYINGINE WAMEWEZA NASISI TUTAWEZA TU.

    ReplyDelete
  4. Tumepokea taarifa hizi za msiba kwa majonzi na mstuko mkubwa,
    Mwenyezi Mungu awalaze mahala pema peponi marehemu wote,
    Pia tunawaombea kwa mungu majerui wote wapone ,
    Tunaungana na ndugu wa marehem,pamoja na watanzania wenzetu
    mlio nyumbani na washabiki wote wa mziki wa taarabu,
    katika msiba huu.
    Mwenyezi Mungu awalaze pema peponi,marehemu.
    Amin
    wadau Ngoma Africa Band aka FFU ugaibuni.
    Germany

    ReplyDelete
  5. we anon wa tatu hapo juu wacha kuropoka kama mwehu. ajali nyingi ni uzembe wa madereva. mfano hii ya 5 star dereva alikuwa analazimisha kuovertake semi trailer wakati mbele haoni vizuri. dereva wa semi pia alijaribu kumzuia kuwa asiovertake kwa kumuwashia hazard lakini jamaa na yeye akazidi kumflash dereva wa semi kwa high beam.

    mwisho wa siku mzee wa semi akasema haya una haraka sio akamuwashia indiketa moja ya kumruhusu apite ... wakati anaovertake hamad kakutana uso kwa uso na gari ingine ... kilichobaki ni historia.

    ReplyDelete
  6. Mbone inasemekana Lori la mbao lilikuwa limeharibika limesimama, wakati kuna mtu juu anasema 'semitrela likamuwasia indiketa pita.'.. which is which???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...