Mbunge wa jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Godbless Lema akihutubia wananchi mara baada ya kuzindua tawi la wanachuo katika chuo kikuu cha sebastian kolowa wilayani Lushoto jijini Tanga mwishoni mwa wiki iliyopita,aliye kushoto kwake ni aliyewahi kuwa mgombea ubunge wilayani Arumeru mashariki,Joshua Nassari(picha na moses mashalla)
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Godbless Lema akikanyaga udongo ili kuhimarisha mti wenye bendera ya chama hicho mara baada ya kuzindua tawi la wanachuo katika chuo kikuu cha sebastian kolowa wilayani Lushoto jijini Tanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. I LOOOOOOOOOOOOOOOOVE CHADEMA. GOD BLESS CHADEMA, GOD BLESS TANZANIA.

    ReplyDelete
  2. SASA MVUA IKINYESHA SI MLINGOTI WA BENDERA UTADONDOKA, DUH NAONA TANZANIA BADO TUPO NYUMA SANA ADI ELO TUNA NYUMBA ZA MATOPE .
    MDAU PARIS

    ReplyDelete
  3. hawa nao matatizo tuu, haya magwanda sio mgamboooozi
    kwanini wasivae aina nyingine mimi imani inanitoka kwani ugomvihapa mtueleweshe tuuu

    Ras j.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...