Courtesy of NTV
Home
Unlabelled
maajabu ya liliondo kwa babu ambi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haya sasa TBC1, Channel 10, ITV, CLOUDS TV, STAR TV mnaona jinsi wenzenu wanavyotengeneza dokumentari safi, HD na siyo tu kurusha kupitia matangazo ya TV lakini wanaweka ktk YOUTUBE, maana YOUTUBE wakati wowote popote duniani kwa wakati wako unaweza kuiangalia tena na tena na kukuza jila la Kituo cha TV na nchi pia.
ReplyDeleteEneo la Liliondo lipo karibu na Ngorogoro Crater na hifadhi za mbuga za wanyama, ndege wa ziwa Natron, volcano ya Oldonyo Lengai, yaani kwa mgongo wa Babu shirika la TANAPA n.k wangeitangaza kiaina Tanzania, lakini ndo mshapigwa bao na jirani yenu.
Mdau
Honolulu
Visiwani Bahari ya Pasifiki.
Hi dawa kwa kweli inaumiza kichwa. Daktari mmoja anasema kwa kiswahili kuwa ameshuhudia mgonjwa wa HIV kupona na kisukari chake yeye binafsi kuwa kupungua. Lakini daktari mwengine anasema wagonjwa wake wa HIV na kisukari hali zao bado zile zile baada ya kunywa dawa ingawa ametumia kimombo kwenye uelezaji wake. Kwa psychology ya mgonjwa, ambaye ameshatumia dawa nyingi bila ya mafanikio, pamoja na wauguzaji wa mgonjwa basi kutumia dawa ya babu hakutawapotezea kitu. Hapa ndio babu alipofanikiwa. Ukweli ni kuwa haina madhara kwani ni mti na maji ambayo yamechemshwa. Kwa sasa nipo neutral.
ReplyDeleteankal kuna part 1 and 2 ya kimatumbi na kiingereza
ReplyDeletetypical!!!!!!
ReplyDelete"Only two things are infinite, the universe and human stupidity, and I'm not sure about the former."
-Albert Einstein
"Nothing in the world is more dangerous than sincere ignorance and consciencious stupidity."
-Martin Luther King, Jr.
kwa kwelimtangazaji katangaza vizuri mno, sauti yake haikwaruzi, hakutoa luga ambayo wasikilizaji hatuijui kwa kweli waandishi (wapiganaji) mngetizama mfano toka kwa huyu kaka, mimi niko ulaya namwona tu huyu babu ambi kwenye michuzi blog lakini nikipata kufika bongo nadhani nitaenda kumwona.
ReplyDeleteBwana asifiwe sana, AMEN
lakini je hivyo vikombe vinaoshwa au ndio anakunywa huyu na yule?? isije kuwa unaondosha kisukari kumge unapata magonjwa mengine ya kuambukiza? mi hapo sijaelewa naomba nifahamishwe tafadhali.
ReplyDeletebarikiwe babu ambi
This is true journalism from Kenya Nation Television. Thank you very much NTV for the exclusive reporting, It is clear that Tanzania Journalists are sleeping or told to shut up.
ReplyDeleteThank you NTV
Binafsi nawashukuru sana waliojitahidi kuiweka habari hii kwenye blogu hii ya ankal.Kilichonikereketa ni kule kuona eti madaktari wasio watanzania hata tena wameshika nafasi za juu za uongozi katika hospitali tanzania. Umekuwaje tena?? wametoka wapi hao???
ReplyDeleteAngalau sisi tulioko mbali angalau tumepata ka documentary ka kwanza kuhusu babu. Ma journalist wa Tanzania vipi mboka mko nyuma? Hadi hii itoke Kenya?!!Si ajabu ikaripotiwa huyu Babu yuko Kenya?!!
ReplyDeleteThe videos are excellent and professionalism is commendable. What concerns me is the negative conclusion of the "Loliondo Wonder film". It is quite obvious that the Kenyan journalists came with a mission to discredit the cure. They (journalists) did not focus on getting interviews with those who have been cured but were concentrating on the "critics". Had the Loliondo cure been a hoax, it would have been obvious in a short period of time. It is the success rate of the cure that those who have been cured have shared their testimonies that is convincing. Here i am talking about our neighbors in our streets all over the country. Come on people, Psychology can not lower blood sugar, neither can it turn HIV Positive prognosis to a negative one.
ReplyDeleteKenyans must stop this negative publicity of our country. This Arrogance will cost them dearly someday.
Mdau na moja juu kweli upo sahihi. Mambo ya ajabu, waandishi wa Tz hivi mjualo ni nini? umbea!!!. Wanzenu wanategeneza documentary heavy mambo ya ajabu tu mnatuletea, mnatia tu aibu na kugombea visoda na sambusa kwenye shughuli.
ReplyDeletePoleni
Hivi Nyie mnaoema mko neutral ama mkienda bongo mtakwenda kwa babu MNAELEWA LUGHA ILIYOZUNGUMZWA KWENYE DOCUMENTARY AMA NDIO WALE WALE WATU MLIOKUWA NA MASIKIO LAKINI HAMSIKII NA HATA MKISIKIA HAMUELEWI......CONCLUSION YA JAMAA NI KWAMBA DAWA YA BABU HAINA TIBA ILA WATU WAMEHEMUKWA (HYSTERIA) KUTOKANA NA TAMAA YA KUPONA. DAKTARI ANAKWAMBIA WAGONJWA WAKE WA KISUKARI NA UKIMWI WALIENDA KWA BABU NA MATOKEO YA KUACHA KUNYWA DAWA ZAO ZA ZAMANI WAMERUDI HOSPITALI WAKIWA HOI ZAIDI SASA HAMUELEWI NINI? KWELI MDANGANYIKA KUSOMA HATAKI NA HATA AKISOMA HAELEWI...
ReplyDeleteHalafu mkiambiwa wenzenu wako juu watu waanza kuja juu ukweli lazima usemwe ntv wanatisha! hii kitu kila mtu atailewa barabara... sio wale wa kina ni mimi blah .. blah muraa wa tv mkulima!
ReplyDeleteKwa kweli watangazaji wetu na vyombo vyetu vya habari naweza kusema ni wachoyo wa habari, hata radio zao hazipatikani online lol! hili bonge la aibu Kenya wamewazidi kutoa habari nzuri na ya uhakika nyie sijui mnafanya nini.
ReplyDeleteChangamkeni ndo maana tupo nyumba hampendi kujishughulisha na uchoyo wa habari upo damunu mwenu ndo maana mna mute habari online.
Aibuuuuuuuuuuuu tupuuuuuuuuuuuuuu TZ.
hii documentary ni nzuri mno. wakenya wameendelea. jamani tv za tanzania walifuatilie hili. hapa kuna story nzuri. kuna story ya kueleza hapa. kwa mfano huyu babu amezaliwa wapi, ana mke, watoto na wajukuu wangapi. watu wangapi wanamuona huyu babu kwa siku na amekwisha ona watu wangapi toka aanze haya matibabu na hao watu wanatoka wapi. hiyo mizizi ana ipata wapi na kutoka miti mingapihivyo vikombe vinaoshwa namna gani na anatoa maji wapi. yeye hupumzika mara ngapi kwa siku au wiki. wasaidizi wake wanatoka wapi. chakula kina toka wapi. wanyama wa aina gani wana chinjwa kwa ajili ya chakula na wanachinjiwa wapi. huduma za choo na mahali pa kulala ni vipi etc. msipo fuatilia hii story wakenya na watu wengine wataifuatilia and before you know it watatengeneza movies na kufaidika.
ReplyDeletejana nili cheka sana wakati niki angalia tv ya kenya nika msikia waziri wao wa afya ms mugo akisema eti next week atakua kwenye mkutano ruanda na atamwambia waziri wa afya wa tanzania kwamba serikali ya tanzania imfunge huyu babu wa loliondo na wafunge hapo mahali anapotoa hizo dawa kwasababu ana wa influence wakenya na wanaenda kumuona kwa wingi. tena aliisema wakenya wengi wanatumia panya routes badala ya border crossings. mimi ninaona wakenya wanafikiri kuwa watanzania ndio wanafaidika kifedha na ndio sababu wanaanza kupiga makelele. sasa huyu babu wa watu afungwe kwanini.
ReplyDeleteexcellently presented, very professional.
ReplyDeleteKuna kitu mtangazaji amegusia kwamba mti huo una sumu. Serikali fanyieni kazi hili haraka mtujulishe. Mkichelewa sana mtajuta kitakachotokea hapo baadae endapo kweli mti huo ulikuwa sumu.
ReplyDeleteDaktari mmoja aemsema kuna wagonjwa wa HIV/AIDS wamekunya na hawakupona. Sishangai kuhusu hilo kwani kuna dawa za hospitali zinazoponya watu wengi lakini hushindikana kwa wagonjwa wachache na hatimaye wakafa. Pia kama kweli dawa ina maajabu ya mungu kuna uwezekano pia mungu akawa na makusudi yake kuhusu kwa nini mwingine apone na kwa nini mwingine asipone. Jambo la msingi ni kwamba huyo babu amesema watanzania tusichukulie kama dawa hiyo ndio kila kitu.
ReplyDeleteKusema kweli Tz tunasikitisha tumeakaa siku zote hizo habari za babu zimepewa jina la siasa zaidi kuliko uhalisia wenyewe. Ukisikia habari ya Babu basi ujue inahusiana na Kakobe au kigogo fulani lakini si Babu kama Babu. Wakenya ndo watu wa kwanza kuweka mambo yote hadharani kuhusu Babu na nawashukuru sana na pia mtangazaji yuko juu vibaya.
ReplyDeleteTanzania endeleeni kulala halafu mtegemee kunufaika kutoka katika EAC
huyo mganga mkuu wa mkoa wa Arusha Dr. Salash Toure ni mtanzania halisi mzaliwa wa Arusha Umasaini.
ReplyDeleteDr. Salash Toure Alitunzwa na kulelewa na Rais Sekou Toure wa Guinea na kusomea elimu ya sekondari mpaka chuo Kikuu huko Guinea na kuishi na familia ya Rais wa Kwanza wa Guinea Sekou Toure kama mtoto wake halisi yaani alilelewa na first family ya Guinea.
Ila baada ya kumaliza masomo na kazi Guinea aliomba arudi kuijenga Tanzania kwa kutumia elimu yake ya udaktari. huo ni moyo wa PAN-Africanism ya kina Nyerere, Nkrumah, Gamal Nasser, Sekou Toure iliifanya aAfrika kuwa na matumaini makubwa wakati huo.
Mdau
Conakry
Guinea