Mkuu wa Utawala wa Kampuni ya Premier Betting, Dhiresh Kaba (kushoto) akipokea tiketi 600 kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko na matukio wa TFF, Jimmy Kabwe. anayeshuhudia katikati ni meneja operesheni wa Premier Betting Javier Diaz Del Rio, kampuni hiyo inatumia vituo vyake vitatu vilivyopo Kariakoo, Manzese na Buguruni kuuza tiketi hizo za mchezo kati ya Taifa Stars na Jamhuri ya Kati

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kweli ukurugenzi una raha, jimmy na kuona shavu dodo!

    ReplyDelete
  2. Nadhani utakuwa mkataba mzuri kama ya wenzetu wa nje ya Tanzania, mfano :
    - Kama ni mechi ya Simba na Yanga basi TFF nawaambia Premier Betting uwanja wa Taifa unaingiza watazamaji 60,000 hivyo tupeni chetu kabisa Tshs Millioni 600( Millioni Mia Sita)mtajijua wenyewe jinsi ya kufanya kupata faida.
    - Ikiwa ni mechi ya Mtibwa vs Azam tupeni Tshs. Millioni 60 (sitini)kabla ya mechi huu ni mfano tu na hao Premmier Betting watajua watapataje faida.
    - TFF inaweza kuangalia kalenda ya mechi zote za ligi, kimataifa n.k na kuziuza mwanzo wa mwaka kwa mtindo wa mnada (auction) na TFF kujikusanyia mfano T.shs Biilioni 200 na kuzitumia hizo Billioni 200 kujenga uwanja wa Karume uchukue watazamaji 15,000.

    Mdau
    Mnadani

    ReplyDelete
  3. Jamani mwenzenu sijaelewa vizuri, yaani sisi Makomandoo wa tangu enzi za akina Mzee Mangara na Jimmy David Ngonya pamoja Amir Bamchawi tukale wapi sasa??????
    Yaani ulaji utabaki kwa Polisi peke yao???
    Tufikirieni jamani, wenzenu tuna familia hapa mjini, assalaleeee!!!

    Kipara Siugonjwa, safarini nyumbani TZ

    ReplyDelete
  4. HIZI RANGI NYEUPE NYEUPE KWELI MUNGU ALIWAPENDELEA WAKATI ANA WAUMBA BINADAMU, YANI WAKATI WATANZANIA WANA SUBIRI KUPEWA KAZI ZA MA OFISINI NA NDUNGU ZAO ,WENZETU WANAANGALIA OPPORTUNITIES ZILIZO WAZI NA KUZINYAKUA. WATANZANIA SI WAANGAIKAJI , PIA WATANZANIA INABIDI TURUDISHE ULE UTANZANIA WETU WA KUAMINIANA , KAZI KAMA HIZI WAPEWE WATANZANIA WENZETU ,TU WA ENCOURAGE VIJANA WA TANZANIA WAPENDE KUJIANGAISHA SI KUSUBIRI KAZI ZA MAOFISI ILI WAIBE KAMA BABA ZAO .

    MDAU PARIS

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...