Home
Unlabelled
TFF yapata kampuni ya kuuza tiketi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli ukurugenzi una raha, jimmy na kuona shavu dodo!
ReplyDeleteNadhani utakuwa mkataba mzuri kama ya wenzetu wa nje ya Tanzania, mfano :
ReplyDelete- Kama ni mechi ya Simba na Yanga basi TFF nawaambia Premier Betting uwanja wa Taifa unaingiza watazamaji 60,000 hivyo tupeni chetu kabisa Tshs Millioni 600( Millioni Mia Sita)mtajijua wenyewe jinsi ya kufanya kupata faida.
- Ikiwa ni mechi ya Mtibwa vs Azam tupeni Tshs. Millioni 60 (sitini)kabla ya mechi huu ni mfano tu na hao Premmier Betting watajua watapataje faida.
- TFF inaweza kuangalia kalenda ya mechi zote za ligi, kimataifa n.k na kuziuza mwanzo wa mwaka kwa mtindo wa mnada (auction) na TFF kujikusanyia mfano T.shs Biilioni 200 na kuzitumia hizo Billioni 200 kujenga uwanja wa Karume uchukue watazamaji 15,000.
Mdau
Mnadani
Jamani mwenzenu sijaelewa vizuri, yaani sisi Makomandoo wa tangu enzi za akina Mzee Mangara na Jimmy David Ngonya pamoja Amir Bamchawi tukale wapi sasa??????
ReplyDeleteYaani ulaji utabaki kwa Polisi peke yao???
Tufikirieni jamani, wenzenu tuna familia hapa mjini, assalaleeee!!!
Kipara Siugonjwa, safarini nyumbani TZ
HIZI RANGI NYEUPE NYEUPE KWELI MUNGU ALIWAPENDELEA WAKATI ANA WAUMBA BINADAMU, YANI WAKATI WATANZANIA WANA SUBIRI KUPEWA KAZI ZA MA OFISINI NA NDUNGU ZAO ,WENZETU WANAANGALIA OPPORTUNITIES ZILIZO WAZI NA KUZINYAKUA. WATANZANIA SI WAANGAIKAJI , PIA WATANZANIA INABIDI TURUDISHE ULE UTANZANIA WETU WA KUAMINIANA , KAZI KAMA HIZI WAPEWE WATANZANIA WENZETU ,TU WA ENCOURAGE VIJANA WA TANZANIA WAPENDE KUJIANGAISHA SI KUSUBIRI KAZI ZA MAOFISI ILI WAIBE KAMA BABA ZAO .
ReplyDeleteMDAU PARIS