Kwa wale wanaokumbuka habari za msanii huyu ambaye alii-shoot video hii pale London na kutupatia picha za shooting yake leo hii video imekamilika na kwa hisani ya M2S(monsterz to society)group la ukweli nawaletea video hiyo ambayo imebeba jina la msanii huyo katika nyimbo inayoitwa JUNY
Home
Unlabelled
video mpya ya M2S
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


hahahah jamaa walipa kibali cha kushoot....safi kwa kutupigia debe mji wetu wa BARKING!
ReplyDelete