Wanafunzi wa kiTanzania waliokuwa wakisoma katika Chuo cha Maji cha Delft, IHE - UNESCO nchini Uholanzi, wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya waTanzania nchini Uholanzi Ndugu Bulemo Kweba (suti nyeusi), katika tafrija ya kuwapongeza kwa kumaliza shahada ya uzamili katika fani mbali mbali za maji. Sherehe hiyo ilifanyika kwenye Ukumbi wa Mina, Delft. Netherlands.
Chini wanafunzi wakijipongeza kwa mduara.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hongereni kwa nondozzz, mduara umenikumbusha Nyerere Day 2008 pale Utrecht. Da Rose, Damian, Babili, Mchungaji na wengine kibao tuliduarika acha. Karibuni bongo tujenge nchi.

    ReplyDelete
  2. Mage Big up sanaa...!Nakuona ukiduarika...!

    ReplyDelete
  3. Mnapenda mduara eeeh!!

    ReplyDelete
  4. hongereni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...