
Wanafunzi wa kiTanzania waliokuwa wakisoma katika Chuo cha Maji cha Delft, IHE - UNESCO nchini Uholanzi, wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya waTanzania nchini Uholanzi Ndugu Bulemo Kweba (suti nyeusi), katika tafrija ya kuwapongeza kwa kumaliza shahada ya uzamili katika fani mbali mbali za maji. Sherehe hiyo ilifanyika kwenye Ukumbi wa Mina, Delft. Netherlands.
Chini wanafunzi wakijipongeza kwa mduara.



Hongereni kwa nondozzz, mduara umenikumbusha Nyerere Day 2008 pale Utrecht. Da Rose, Damian, Babili, Mchungaji na wengine kibao tuliduarika acha. Karibuni bongo tujenge nchi.
ReplyDeleteMage Big up sanaa...!Nakuona ukiduarika...!
ReplyDeleteMnapenda mduara eeeh!!
ReplyDeletehongereni
ReplyDelete