Hawa watumishi humo ndani wanachagua mitumba na wala hawana wasi kuwa ni muda wa kazi. Tumeomba watufungulie geti wakatuambia subirini tunakazi na tunataratibu zetu za kikazi hivyo usituingilie katika kazi zetu. Hiki kibanda kipo mpakani mwa Tanzania na na zambia upande wa Tunduma ambapo madereva wengi wamekilalamikia kibanda hiki na inasemekana ni mojawapo ya chanzo cha kusababisha foleni mpakani hapo.
Kero kubwa ya Tunduma - foleni isiyo lazima
Bonge la foleni upande wa Tanzania mpakani Tunduma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Asante sana kwa ku posti hiyo kaka Michuzi. Sasa naomba pls forward hiyo information kwa minister(s) was mambo ya ndani, Minister responsible for workers and lastly but not least to Mheshimiwa Kikwete...because he shoiuld see how government workers wanasababisha hiyo kero not only at the border but every where in Tanzania where a bureaucrat is involved...no wonder we do not have a running water, no umeme, in our country and our dear country inazidi kuanguka because of poor or lack of responsibility from hawa jamaa at the highest offices. wake up guys! wake up guys! it's time for a new leadership and we need leadership like January Makamba or Mo Dewji

    ReplyDelete
  2. Mbona kama foleni ya kwa BABU Loliondo Michu?

    ReplyDelete
  3. Mbona ndiyo offisi zetu hizo, kipi kigeni leo? watu wanfanya kazi wapendavyo na siyo kwa ajili ya kuhudumia umma, saa nne chai mchana chakula, saa tisa snck, saa kumi nyumbani. Tena na ruhswa kibindoni wanawahi kwenye baa fulani. Saa sita usiku ndiyo wangonga mlango nyumbani saa ngapi atwajibika. Hivyo ndivyo baba zao walivyoisha na watoto wamepokea wanishi hivyo. Nani aliuambia hizo kazi utapata kama siyo unamjuwa kigogo.Poleni kwa folleni labda mtajifunza kutoka upande wa pili wao wanwajibika namna gani?

    ReplyDelete
  4. Nadhani itakuwa vizuri kama watapatiwa kikombe nasikia kinawaamsha watu kidogo.Na kama hawajaamka basi fukuza kazi wooooote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...