Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Bernard Membe pamoja na ujumbe wa Tanzania wakati wa ufunguzi wa mkutano maalumu wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya uchumi kusini mwa AfrikaSADC unaofanyika katika mji mkuu wa Namibia Windhoek.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete(kulia) Rais wa Zambia Rupiah Banda(katikati) na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe(kushoto) wakisimama wakati wimbo wa taifa wa Namibia na wimbo wa SADC ukipigwa wakati wa kuanza kwa mkutano maalumu wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya kiuchumi kusini mwa Afrika SADC uliofanyika katika mji mkuu wa Namibia Windhoek, leo asubuhi.Picha na Freddy Maro


Hivi Tz tunawezaje kukidhi matakwa ya SADC wakati huohuo tuko East Africa Community? Sisi kuwa ndani ya SADC ni bora zaidi kuliko kuwa na hao jamaa wenye wivu na maendeleo ya nchi yetu.
ReplyDelete