Kikosi cha timu ya soka ya wanawake , Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, Umisseta ngazi ya Mkoa wa Morogoro

Kikosis cha timu ya soka ya wanawake , Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero, Umisseta ngazi ya Mkoa

Kikosi cha timu ya soka ya wavulana Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero, Umisseta ngazi ya Mkoa

Kikosi cha timu ya soka ya wavulana Halmashauri ya Kilosa

Katibu Tawala wa Wilaya ya Morogoro, Alfred Shayo ( kushoto) akisalimiana na wachezaji wa timu ya soka ya Halmashauri ya Kilombero, Umisseta ngazi ya mkoa iliyoanz

Halmashauri ya Ulanga nao hawakuwa nyuma katika staili ya ushangiliaji Umisseta ngazi ya Mkoa


Hawa ni wachezaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero

Hii ni staili ya ushangiliaji wa wachezaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

Hawa ni wachezaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Umisseta ngazi ya Mkoa

Wachezaji wa Halmashauri ya Kilombero wa Umisseta na staili yao

Mashindano ya Umisseta ngazi ya Mkoa wa Morogoro yameanza kutimua vumbi leo  Mei 22 na kupangwa kumalizika Mei 25, mwaka huu kwenye uwanja wa Jamhuri wa Morogoro, wanamichezo 540 ambao ni wanafunzi wa Sekondari wa kutoka Halmashauri sita za Mkoa huo aambazo ni Kilosa, Ulanga, Kilombero, Mvomero, Manispaa ya Morogoro na Halmashauri ya  Wilaya ya Morogoro.
 
Michezo mbalimbali imepaangwa kufanyika ikiwemo soka kwa wavulana na wasichana, netiboli, Volleyball, Basket Ball ,riadha  na mingine kadhaa.
 
 Picha zote na John Nditi wa Globu ya Jamii, Mji Kasoro Bahari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...