![]() |
| Maeneo ya kivukoni Kigongo ambako Mv Sngerema na MV mwanza huhudumia |
![]() |
| Mv Mwanza ni kivuko kinachofanya safari kati ya Busisi na Kigongo kutoa huduma kwa wakazi wa Mwanza na Sengerema |
![]() |
| MV Sengerema ni kivuko kipya cha Kigongo - Busisi ambacho kinafanana kiasi na Mv Kigamboni ambapo hali ya usafiri umekuwa ahueni sana siku hizi |





Bravo kwa wahusika.
ReplyDeleteSandag.
Huyo mwenye kigari cheupe hapo pembeni anachafua mazingira...ataoshaje gari yake hapo bwanaaaa!
ReplyDeleteMdau Nyakalilo.