Home
Unlabelled
watoto wa mitaani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bomu linalosubiri kulipuka. Serikali iendelee tu kukaa kimya. Wanakua haoo.
ReplyDeleteHUU NDIO UWEZO TULIKUWA NAO MTAJI WA MASKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE.
ReplyDeleteSERIKALI AU WATU TULIOWAPA NAFASI ZA KUTETEA WATOTO WAO WANATANUA KWA HIYO HILO BOMU LIKILIPUKA INA MAANISHA TUTA AJILI ASKARI WENGI,AJIRA ITAONGEZEKA NA WAHESHIMIWA WATAPATA MAFAO MENGI KWA AJILI YA SEMINA NA MAPOLISI WATALIPWA OVERTIME NYINGI
HAKUNA WA KUMJALI MWENZAKE TANZANIA MAANA WATU NI WABINASFI WANATAKA KILA MTU AKAIBE AU AKAWE FISADI TU KWAHIYO NDUGU ZANGU HAKUNA NAMNA YA KUWASAIDIA HAO WATOTO MAANA WAPO WENGI YATIMA UKITAKA KUJUA ULIZA IDADI YA WATOTO WA MTAANI NA JINSI GANI WANASAIDIWA UTALIA MIMI NATOA SADAKA YANGU KWA WATOTO YATIMA WAPO 50 LAKINI NIKILETEWA TAARIFA ZAO UNAANZA KULIA MAANA HAWANA MAGODORO WANALALA KWENYE MABOX,NINATAFUTA WATU WANGU WEUPE WANISAIDIE ILA WANASEMA MPAKA WAENDE KUWAONA,SIKU MOJA NILIMUULIZA MLEZI WA KITUO KWANINI USIMWONE MKUU WA MKOA UKAMWELEZA AKASEMA ALIISHA ONGEA NAYE NAZO NI STORY SIJUI TUTAFANYAJE UZURI WA sisi waTZ 80% hatujui mabaya na mazuri ndio maana nimeandika kwa asira naomba mnisamehe kama nimewahuzi maana naona uchungu sana
Kuna wengine wengi tu wanaishi pale round about ya barabara ya uhuru kariakoo karibia na kongo mtaa. Ile sio round about tena ni kijiji cha vijana watoto wa mitaani hadi maua dhaifu yaliyokuwepo yamekanyagwa saizi ni tambarare.Mimi sina uwezo ila naandika humu ili vyombo vinavyohusika viweze kulichukulia uzito suala hili maana watoto wa mitaani wanahangaika na kila mmoja anahitaji mahitaji kama watoto wengine wa majumbani. Ni aibu kwa taifa letu ukiwakuta pale, wameibuka pale wana kama mwezi sasa hivi kma sikosei. Uwezo wa kwenda shule wanao ila ni matatizo mbalimbali yaliyowakumba ikiwa na kufiwa na wazazi.
ReplyDelete