Afisa Habari wa Idara ya Habari(MAELEZO) akitoa ufafanuzi jana Mnazi mmoja jijini Dar es salaam kwa wananchi waliotembelea banda la Idara hiyo kwa ajili ya kujifunza shughuli mbalimbali wanazitekeleza katika utmishi wa umma kwa kipindi cha miaka 50 iliyopita. Wananchi hao ni miongoni mwa watu walioshiriki wiki ya utumishi wa umma.
Wananchi mbalimbali wakiangalia kitabu cha picha za historia za sherehe ya uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika) jana Mnazi mmoja jijini Dar es salaam katika Banda la Idara ya Habari (MAELEZO).Picha na MAELEZO-Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...