Toka shoto ni wapiganaji Angetille Osiah, George Kanuti Njogopa, Aboubakar Liongo, Masoud Masoud, Isaack Muyenjwa Gamba na Ankal wakati wa kajimnuso ka kumkaribisha Abou mjini kalikofanyika Break Point Kijitonyama.
Masoud Masoud a.k.a DJ Neagre Jay (enzi za YMCA disko Toto) alikuja  kwenye kamnuso hako na bintize ambao wanaishi ughaibuni. Wote wameshaolewa huko

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2011

    We Michuzi kwani umeulizwa kama wameishaolew?!!. Kazi kuzibia wenzio tu, huyo wa kati bado acha hizoo. Wewe weka kontakti alafu ondoka.

    Observer

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2011

    mabinti wanalipa lakni toooo late!

    ReplyDelete
  3. Tehe teh tee tee!

    Michuzi umenifurahisha sana na sentensi yako ya Binti za Masudi Masudi.

    Yaani umeweka NUKTA na ALAMA ZA KUFUNGA USEMI na BRAKETS kabisa!

    Eti wote wameshaolewa huko. Tehe teh! Maana ulijua waosha vinywa na wabeba Boksi wakishaamka huko maana saa hizi ni usiku huko kwao) WANGECHAFUA HALI YA HEWA.

    Tehe teh tee! Me mwenyewe nilitaka kusema lakini ndo basi tena ushaniwahi!

    Tehe teh tee!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 21, 2011

    nimependa sana hiyo line: "Wote wameshaolewa huko", manaake usingewahi jamaa comments zao zingechukua mwelekeo wa kutaka uchumba ili waoe kwa Masoud!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 21, 2011

    Hata kama hawajolewa umeweka ili watu wasiwasumbue, kuna wengine wabishi hawaelewi cha ndoa wala nini. Watawatafuta tuu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 21, 2011

    ikiwa wameolewa shida yako nini? hujaulizwa unajibu kwani kuolewa ni issue we vp? wataachika ili tuwachukue sisi..kama wameolewa unawauzisha nyago ili iweje...koma kabisa...kuolewa kitu gani bwana....mwaga mawasiliano yao tambaa.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 21, 2011

    usitutishe,kuwatafuta tutawatafuta tu.Unataka kubania ridhiki za watu,tu.Usilaaniwe Michuzi.

    ReplyDelete
  8. Kaka mithupu umenifurahisha sana unakaba mpaka penalti

    ReplyDelete
  9. Wameolewa na nani? kama wameolewa na wazungu/mzungu basi kwangu mimi hao mabinti ni kwamba bado wapo single tuu. Kama wameolewa na wamatumbi basi nitauheshimu ukweli na kubakia kumezea mate tuu. Mimi namtaka huyo binti aliyevaa nguo nyeusi. Pia nipo ughaibuni na hata akitaka makaratasi (kama bado hajayakamata) basi mimi nitampa makaratasi. Na kama anayo makaratasi tayari, hiyo pia ni kheri tuu.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 21, 2011

    ebwana neagre jay anafanya nini siku hizi? mambo ya "treat her like a lady" (temptations)....

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 22, 2011

    Hata kama wameshaolewa hakuna shinda. Ndio maana huwa kuna nyumba ndogo. They're there for a purpose.lol

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...