Mkuu wa wilaya ya Hai katika mkoa wa Kilimanjaro, Dr.Norman Sigalla(kushoto)akiongea na mzee Clemence Shaula katika kijiji cha Longuo,aliyejengewa nyumba ya gharama nafuu na shirika la Dorcas Aid International Tanzania(DAIT) katikati ni mkurugenzi wa DAIT)Stella Mayenje.
Mkuu wa wilaya ya Hai Dr.Norman Sigalla(kulia)akisoma jiwe la msingi baada ya kuzindua nyumba 140, zilizojengwa na shirika la Dorcas Aid International Tanzania(DAIT) kwajili ya wazee na watu wenye kipato duni katika vijiji tisa, eneo la Longuo jana,kulia kwake ni mkurugenzi wa DAIT Stella Mayenje.
Mkuu wa wilaya ya Hai Dr.Norman Sigalla,akizindua mradi wa nyumba 140, zilizojengwa kwa wazee na watu wenye kipato duni katika vijiji tisa katika kijiji cha Longuo,nyumba hizo zimejengwa na shirika Dorcas Aid International Tanzania(DAIT).
Picha zote na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii
Inabidi waheshimiwa sasa waanze kupewa posho ya mavazi :)
ReplyDeletewewe anonymous hapo juu wa kwanza, naona una hoja binafsi.. mbona amewaka tu mwenyewe?? au unataka avae joho??
ReplyDeleteBut hata mimi mmhhhh that one is too much, kila vazi lina mahala pake huwezi kuvaa suti ukienda shambani na huwezi vaa kanga kama huendi msibani, Huyo dada katuangusha kweli next time awaulize wenziye au mume wake kabla hajatoka.
ReplyDelete