![]() |
Mh. Peter Msigwa (CHADEMA) |
Mh. Juma Nkamia (CCM) |
Wabunge Juma Nkamia wa CCM na Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA walumbana katika "Hoja kwa Hoja" kuhusu posho za wabunge. Mjadala kamili utakuwa katika mtandao wa www.voaswahili.com Jumapili June 26
Most read Swahili blog on earth
![]() |
Mh. Peter Msigwa (CHADEMA) |
Mh. Juma Nkamia (CCM) |
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nitafuatilia kwa makini mdahalo huu, wasiwasi wangu ni Mhe Nkamia kutoka nje ya mada...mara nyingi anaongea kwa jazba.
ReplyDeleteHizi mada nyingine ni kuharibiana sifa, Nafikiri Nkamia atakuwa anawakilisha Kundi la wanaokubaliana na Posho jambo ambalo wengi wanaogopa kusema hadharani kwamba liendelee. Hapo ndipo wananchi wake hawatamuelewa kabisa na kujishushia umaarufu wa kutaka Posho ilihari wananchi wake hali ngumu.., Tafakari kabla hujaenda Nkamia
ReplyDeletedu amakweli nchi yetu inawabunge kama mh wa juu hafanani kabisa
ReplyDeleteJamani naombeni kujua sifa za ubunge maana mhhhh, hicho kipindi kitakuwa babukubwa.
ReplyDelete