Mkuu wa wilaya ya Hai  katika mkoa wa Kilimanjaro, Dr.Norman Sigalla(kushoto)akiongea na mzee Clemence Shaula katika kijiji cha Longuo,aliyejengewa nyumba ya gharama nafuu na shirika la Dorcas Aid International Tanzania(DAIT) katikati ni mkurugenzi wa DAIT)Stella Mayenje.
 Mkuu wa wilaya ya Hai Dr.Norman Sigalla(kulia)akisoma jiwe la msingi baada ya kuzindua  nyumba 140, zilizojengwa na shirika la Dorcas Aid International Tanzania(DAIT) kwajili ya wazee na watu wenye kipato duni katika vijiji  tisa, eneo la Longuo jana,kulia kwake ni mkurugenzi wa DAIT Stella Mayenje.
Mkuu wa wilaya ya Hai Dr.Norman Sigalla,akizindua mradi wa nyumba 140, zilizojengwa kwa wazee na watu wenye kipato duni katika vijiji tisa katika kijiji cha Longuo,nyumba hizo zimejengwa na shirika Dorcas Aid International Tanzania(DAIT). 
Picha zote na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2011

    Inabidi waheshimiwa sasa waanze kupewa posho ya mavazi :)

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2011

    wewe anonymous hapo juu wa kwanza, naona una hoja binafsi.. mbona amewaka tu mwenyewe?? au unataka avae joho??

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 24, 2011

    But hata mimi mmhhhh that one is too much, kila vazi lina mahala pake huwezi kuvaa suti ukienda shambani na huwezi vaa kanga kama huendi msibani, Huyo dada katuangusha kweli next time awaulize wenziye au mume wake kabla hajatoka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...